Uwanja wa michezo wa Francistown

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa michezo wa Francistown, Botswana

Uwanja wa michezo wa Francistown ambao pia rasmi unajulika kwa jina la Uwanja wa michezo wa Obed Itani Chilume ni uwanja wa michezo unaotumika kwa matumizi mengi huko Francistown, nchini Botswana. [1]

Unatumika zaidi kwa mpira wa miguu (soka) na pia hutumika kuandaa mechi za nyumbani za klabu ya Francistown giants TAFIC. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 27,000. Ulifunguliwa rasmi mnamo mwaka 2015, miaka 5 baadaye kuliko ilivyopangwa. Kwa sababu ya ucheleweshaji, uwanja haukuweza kukamilika kwa wakati wa Kombe la Dunia la mwaka 2010 kama ilivyopangwa hapo awali.[2][3][4]

Uwanja huo pia huwa na mkutano wa riadha kwa shule za upili za mitaa, na vilevile majaribio ya kitaifa na mashindano. [5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.bnsc.co.bw/node/225
  2. Correspondent, Legwatagwata Kheme-BG. "Francistown Stadium project stalls - Botswana Guardian". www.botswanaguardian.co.bw (kwa en-gb). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-21. Iliwekwa mnamo 2020-03-24.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. "Francistown Stadium ready in three weeks". Botswana Gazette (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-03-24. 
  4. DUBE, CHAKALISA. "Mmegi Online :: F/town Sports Complex a white elephant - Muzila". Mmegi Online. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-21. Iliwekwa mnamo 2020-03-24.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-03. Iliwekwa mnamo 2021-06-11.