Uwanja wa Zahur Ahmed Chowdhury
Mandhari
Uwanja wa Zahur Ahmed Chowdhury ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Bangladesh. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2004 kwenye mji wa Chittagong nchini Bangladesh. Uwanja huu hutumiwa na timu ya kricketi na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 22,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "ZAC Stadium Profile". ESPNCricinfo.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Zahur Ahmed Chowdhury kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |