Uwanja wa michezo wa Witbank

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Uwanja wa Witbank)

Uwanja wa michezo wa Witbank ni uwanja unaotumika wenye makusudio mengi ya Witbank, Afrika Kusini.Kwa sasa unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya Mpumalanga Black Aces F.C. Ni uwanja wa nyumbani pia wa timu ya Mpumalanga rugby, kabla ya kuhama kuelekea Mbombela.

Hapo awali uwanja huo ulijulika kama uwanja wa Johann van Riebeeck mpaka mnamo mwaka 2000, kabla ya mikataba ya udhamini kubadilishwa jina kuwa lantic Park na uwanja wa Witbank Mica. Wakati ambao mikataba hii ya udhamini ilifikia mwisho, ulijulikana kama uwanja wa Puma kabla ya kuwa uwanja wa Witbank.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Witbank kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.