Uwanja wa michezo wa Wembezi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Uwanja wa Wembezi)

Uwanja wa michezo wa Wembezi ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi uwanja huu unapatikana huko Estcourt, KwaZulu-Natal Afrika ya kusini. Kwa sasa unatumika sana kwa mechi za mpira wa miguu na ni ukumbi wa nyumbani wa timu ya Wembezi Juventus kwenye ligi ya Vodacom.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Wembezi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.