Uwanja wa Toyota (Kentucky)
Mandhari
Uwanja wa Toyota (Kentucky) ni uwanja ulio Georgetown, Kentucky, Marekani. Ni uwanja wa nyumbani kwa timu za mpira wa miguu, mpira wa Amerika, na lacrosse za Georgetown College[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Peck, Jared (Agosti 22, 2019). "New school, new stadium, new challenges for football in Scott County". Lexington Herald-Leader. Iliwekwa mnamo Agosti 25, 2019.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Toyota (Kentucky) kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |