Uwanja wa Taifa (Sierra Leone)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Taifa (Sierra Leone)

Uwanja wa michezo wa Siaka Stevens unajulikana zaidi kwa jina la Kiingereza kama National Stadium ni uwanja wa taifa wa nchi ya Sierra Leone, uwanja huu unapatikana katika mjii mkuu wa Freetown , ukitumika sana kwa ajili ya mpira wa miguu pamoja na riadha na una uwezo wa kuchukua mashabiki 45000.[1] pia ni uwanja wa nyumbani wa timu ya taifa ya Sierra Leone inayojulikana kama Leone Stars.

STimu tofauti tofauti katika ligi kuu hutumia uwanja huu kama uwanja wao wa nyumbani, poa shughuli mbalimbali za kijamii,kidini, kitamaduni,kisiasa, matamasha ya muziki hufanyika katika uwanja huu.

Uwanja huu unamilikiwa na serikali ya Seirra Leone na unasimamiwa na wizara ya michezo.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Uwanja huu ulipewa jina la raisi wa kwanza Sierra Leone Siaka Steven mata baada ya kutia saini ya ujenzi wa uwanja huu mnamo mwaka 1979, Mwaka 1992 ulibadilishwa jina baada ya jeshi kuchukua madaraka, lakini mwaka 2008 jina la wali la uwanja huu lilianza kutumika tena .[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Taifa (Sierra Leone) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.