Uwanja wa Oghara Township

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa mji wa Oghara ni uwanja wa michezo uliopo Oghara nchini Nigeria. Uwanja huu mara nyingi hutumika katika mechi za mchezo wa mpira wa miguu, mwaka 2006 ulitumika katika mashindano ya kombe la Afrika la wanawake .[1] Uwanja huu una uwezo wa kuchukua zaidi ya mashabiki takribani 8,000.[2] Pia, uwanja huu mara kadhaa umetumika kama uwanja wa muda na wa nyumbani wa timu ya Ocean Boys F.C. na Bayelsa United.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "AWC: Nigeria beats South Africa 2-0, Equatorial-Guinea holds Algeria". Agência Angola Press. 4 November 2006. Iliwekwa mnamo 16 April 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)[dead link]
  2. "Delta State League draw the Curtains", Vanguard, 16 July 2020. 
  3. "Nigeria: NFF Clears Venues for Ocean Boys, Bayelsa United", This Day, 2 April 2009. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Oghara Township kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.