Uwanja wa Ndege wa Da Nang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Da Nang International Airport
Sân bay Quốc tế Đà Nẵng
IATA: DADICAO: VVDN
Muhtasari
Aina Public / Military
Opareta Central Airports Authority
Serves Da Nang
Mwinuko 
Juu ya UB
33 ft / 10 m
Anwani ya kijiografia 16°02′38″N 108°11′58″E / 16.04389°N 108.19944°E / 16.04389; 108.19944
Njia ya kutua na kuruka ndege
Mwelekeo Urefu Aina ya
barabara
ft m
17L/35R 10,000 3,048 Asphalt
17R/35L 10,000 3,048 Asphalt


Kiwanja cha Ndege cha Da Nang ni kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Da Nang nchini Vietnam. Ni kati ya nyanja za ndege kubwa ikiwa abiria zaidi ya milioni 2 wanaopita.

Jina kamili kwa Kiholanzi ni Sân bay quốc tế Đà Nẵng au kwa Kiingereza Da Nang international Airport.

Ni kituo kikuu cha Vietnam Airlines.

Kiwanja cha ndege kipo kilomita 2 kusini ya Da Nang na safari kwa treni kutoka mjini ni dakika 20.

References[hariri | hariri chanzo]