Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Nakhchivan City

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Nakhchivan City ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Azerbaijan. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2013 kwenye mji wa Nakhchivan City nchini Azerbaijan. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Araz PFK na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 12,800.[1]

  1. "В Нахчыване открылся стадион Араза". Azerisport.com (kwa Russian). Iliwekwa mnamo 14 Agosti 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Nakhchivan City kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.