Uwanja wa Manispaa (Ouagadougou).
Mandhari
(Elekezwa kutoka Uwanja wa Municipal (Ouagadougou).)
Uwanja wa michezo wa Dr. Issoufou Joseph Conombo. [1] ni uwanja unaotumika kwa Michezo mbalimbali uwanja huu unaopatikana huko Ouagadougou,nchini Burkina Faso. Kwa sasa unatumika hasa kwa michezo ya Soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Santos. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 25,000.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Manispaa (Ouagadougou). kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |