Uwanja wa Mpira wa Darwin
Mandhari
Uwanja wa Mpira wa Darwin ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Darwin nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Darwin Olympic SC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 6,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Darwin Football Stadium". Austadiums. Iliwekwa mnamo 16 Novemba 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Mpira wa Darwin kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |