Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Zaqatala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Zaqatala ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Azerbaijan. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2008 kwenye mji wa Zaqatala nchini Azerbaijan. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Zagatala PFK na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 3,500. [1]

  1. "World Stadiums - Stadiums in Azerbaijan". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-16. Iliwekwa mnamo 2025-02-05.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Zaqatala kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.