Uwanja wa Michezo wa Yurtec
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Yurtec ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1997 kwenye mji wa Sendai, Miyagi Tōhoku nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sony Sendai FC, Vegalta Sendai na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 19,134.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Yurtec kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |