Uwanja wa Michezo wa Yokkaichi Athletics
Mandhari

Uwanja wa Michezo wa Yokkaichi Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1968 kwenye mji wa Yokkaichi, Mie nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Cosmo Oil Yokkaichi FC Veertien Mie na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Yokkaichi Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |