Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Western Sydney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Western Sydney ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sydney nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Australia men's national soccer team, Australia women's national soccer team, Western Sydney Wanderers na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 30,000.[1]

  1. "Western Sydney Stadium contractor announced". Infrastructure Magazine. 12 Desemba 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo 13 Septemba 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Western Sydney kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.