Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa WACA

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa WACA ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Perth nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Australia men's national soccer team na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,000.[1]

  1. "WACA Ground". Austadiums. Iliwekwa mnamo 16 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa WACA kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.