Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Toyota

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Toyota

Uwanja wa Michezo wa Toyota ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2001 kwenye mji wa Toyota, Aichi nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Nagoya Grampus na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 44,380.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Toyota kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.