Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Tomás Adolfo Ducó

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Tomás Adolfo Ducó ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1949 kwenye mji wa Buenos Aires nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Huracán na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 48,314.[1]

  1. ↑ El Palacio at C.A. Huracán
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Tomás Adolfo Ducó kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.