Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Toho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Toho

Uwanja wa Michezo wa Toho ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa kwenye mji wa Fukushima city, Fukushima nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Fukushima United F.C. na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 21,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Toho kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.