Uwanja wa Michezo wa Tofiq Bahramov
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Tofiq Bahramov ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Azerbaijan. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1951 kwenye mji wa Baku nchini Azerbaijan. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Azerbaijan, Qarabağ na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 31,200.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Tofiq Bahramov kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |