Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Todoroki Athletics

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Todoroki Athletics

Uwanja wa Michezo wa Todoroki Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1962 kwenye mji wa Kawasaki, Kanagawa nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kawasaki Frontale, NKK SC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 27,495.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Todoroki Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.