Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Tochigi Green

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Tochigi Green

Uwanja wa Michezo wa Tochigi Green ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1993 kwenye mji wa Utsunomiya, Tochigi Kantō nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Tochigi SC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 18,025.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Tochigi Green kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.