Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa The Home of the Matildas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa The Home of the Matildas ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Melbourne nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Melbourne Victory FC (A-Ligi ya Wanawake) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 2,500.[1]

  1. "First glimpse of The Home of the Matildas at La Trobe University". Football Victoria. 13 Machi 2022. Iliwekwa mnamo 8 Oktoba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa The Home of the Matildas kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.