Uwanja wa Michezo wa The Gabba
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa The Gabba ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Brisbane nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Australia na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 42,500.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Gabba". Austadiums. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Aprili 2021. Iliwekwa mnamo 14 Agosti 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa The Gabba kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |