Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Tahar Zoughari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Tahar Zoughari ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1987 kwenye mji wa Relizane. Uwanja huu hutumiwa na timu ya RC Relizane na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 25,000.[1]

  1. "Coup d'envoi des travaux de réalisation du nouveau complexe sportif à Béchar". Radio Algérie.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Tahar Zoughari kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.