Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Sylhet International Cricket

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Sylhet International Cricket ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Bangladesh. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2007 kwenye mji wa Sylhet nchini Bangladesh. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kriketi, mpira wa miguu na mengine na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 18,500.[1]

  1. Established in the year 2007, bdcricteam.com, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04, iliwekwa mnamo 2025-02-05 Retrieved on 23 June 2013.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sylhet International Cricket kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.