Uwanja wa Michezo wa Sydney Cricket Ground
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Sydney Cricket Ground (SCG) ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sydney nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Australia na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 48,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Sydney Cricket Ground". Austadiums.com. Austadiums. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Januari 2016. Iliwekwa mnamo 13 Septemba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sydney Cricket Ground kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |