Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Sydney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Sydney ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sydney nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia, Sydney FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 42,500.[1]

  1. "Allianz Stadium". Austadiums. Iliwekwa mnamo 4 Septemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sydney kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.