Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Summit Sports Park

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Summit Sports Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Mount Barker nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Mount Barker United na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]

  1. Hogarth, Dylan (2023-10-03). "Mount Barker Football Club abandons $23m state-of-the-art facility". Adelaide Hills Messenger. Iliwekwa mnamo 2024-03-22.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Summit Sports Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.