Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa State Centre for Football

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa State Centre for Football ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Adelaide nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Adelaide Comets FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 7,000.[1]

  1. "State Centre of Football Development". Government of South Australia, Office for Recreation, Sport and Racing. 18 Julai 2022. Iliwekwa mnamo 24 Januari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa State Centre for Football kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.