Uwanja wa Michezo wa St George
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa St George ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sydney nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Australia men's national soccer team, St George FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 12,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ NSW, Football (31 Januari 2022). "Farewell to St George Stadium Day". Football NSW (kwa American English). Iliwekwa mnamo 27 Machi 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa St George kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |