Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Spenser Park

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Spenser Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Brisbane nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia, Brisbane City FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]

  1. Spencer Park Austadiums
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Spenser Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.