Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Sher-e-Bangla National Cricket

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Sher-e-Bangla National Cricket ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Bangladesh. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2006 kwenye mji wa Dhaka nchini Bangladesh. Uwanja huu hutumiwa na timu ya kricket na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 25,000.[1]

  1. SHER-E-BANGLA NATIONAL CRICKET STADIUM, MIRPUR Archived 24 Septemba 2015 at the Wayback Machine – ICC World Twenty20 Bangladesh 2014. Retrieved 21 March 2014.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sher-e-Bangla National Cricket kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.