Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Sheikh Abu Naser

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Sheikh Abu Naser ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Bangladesh. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2005 kwenye mji wa Khulna nchini Bangladesh. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Cricket na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,000.[1]

  1. "Sheikh Abu Naser Stadium | Bangladesh | Cricket Grounds | ESPNcricinfo.com". Cricinfo. Iliwekwa mnamo 21 Desemba 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sheikh Abu Naser kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.