Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Shaheed Dhirendranath Datta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Shaheed Dhirendranath Datta ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Bangladesh. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2007 kwenye mji wa Comilla nchini Bangladesh. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kriketi, mpira wa miguu na mengine na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 18,000.[1]

  1. "All Others". National Sports Council, Bangladesh.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Shaheed Dhirendranath Datta kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.