Uwanja wa Michezo wa Shagan
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Shagan ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Azerbaijan. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2009 kwenye mji wa Baku nchini Azerbaijan.Ina uwezo wa kuhifadhi mashabiki1,032.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "World Stadiums - Stadiums in Azerbaijan". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-16. Iliwekwa mnamo 2025-02-05.
{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Shagan kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |