Uwanja wa Michezo wa Sayagatani Athletics
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Sayagatani Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa kwenye mji wa Kitakyushu, Fukuoka nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Giravanz Kitakyushu Nippon Steel Yawata SC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sayagatani Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |