Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Saïd Amara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Saïd Amara ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2005 kwenye mji wa Saïda nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya MC Saïda na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 25,000.[1]

  1. ↑ "Coup d'envoi des travaux de réalisation du nouveau complexe sportif à Béchar". Radio Algérie.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Saïd Amara kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.