Uwanja wa Michezo wa Robertson Oval
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Robertson Oval ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Wagga Wagga nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Australia women's national soccer team na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 9,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Robertson Oval". Austadiums. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Robertson Oval kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |