Uwanja wa Michezo wa Ramadane Ben Abdelmalek
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Ramadane Ben Abdelmalek ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1948 kwenye mji wa Constantine nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya MO Constantine na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 13,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Coup d'envoi des travaux de réalisation du nouveau complexe sportif à Béchar". Radio Algérie. 8 Agosti 2024. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Ramadane Ben Abdelmalek kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |