Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Rafiq Uddin Bhuiyan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Rafiq Uddin Bhuiyan ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Bangladesh. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2006 kwenye mji wa Mymensingh nchini Bangladesh. Uwanja huu hutumiwa na timu ya ya Kriketi, mpira wa miguu na mengine na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 25,000.[1][2]

  1. "The Home of CricketArchive". CricketArchive. Iliwekwa mnamo 22 Februari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Mymensingh Stadium". ESPNcricinfo. Iliwekwa mnamo 22 Februari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Rafiq Uddin Bhuiyan kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.