Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Raúl Conti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Raúl Conti ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1967 kwenye mji wa Puerto Madryn nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Guillermo Brown na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,000.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Raúl Conti kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.