Uwanja wa Michezo wa Queensland Sport and Athletics Centre
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Queensland Sport and Athletics Centre ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Brisbane nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 48,500.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Stadiums Queensland – History Archived 20 Agosti 2006 at the Wayback Machine
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Queensland Sport and Athletics Centre kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |