Uwanja wa Michezo wa Presbítero Bartolomé Grella
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Presbítero Bartolomé Grella ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1956 kwenye mji wa Paraná nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Patronato na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 14,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Estadio de Crucero del Norte de Misiones on Estadios de Argentina
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Presbítero Bartolomé Grella kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |