Uwanja wa Michezo wa Perth Rectangular
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Perth Rectangular ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Perth nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Australia, timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia , Perth Glory na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,500.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Perth's leading rectangular venue to be renamed HBF Park VenuesWest". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-27. Iliwekwa mnamo 2025-02-06.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Perth Rectangular kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |