Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Perry Park

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Perry Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Brisbane nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia, Brisbane Roar FC (A-Ligi ya wanawake), Brisbane Strikers FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]

  1. "NEW PERRY PARK SPORTS FACILITY ENCOURAGES COMMUNITY TO 'GET IN THE GAME'". Australian Leisure Management. Iliwekwa mnamo 4 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Perry Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.