Uwanja wa Michezo wa Pedro Bidegain
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Pedro Bidegain ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1993 kwenye mji wa Buenos Aires nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya San Lorenzo na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 47,964.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Estadio de Crucero del Norte de Misiones on Estadios de Argentina
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Pedro Bidegain kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |