Uwanja wa Michezo wa Parque Oriental
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Parque Oriental ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa kwenye mji wa La Paz nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Oriental de Football na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 1,500.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Uruguay". www.es.fifa.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Parque Oriental kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |