Uwanja wa Michezo wa Omar Benrabah
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Omar Benrabah ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Dar El Beïda nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Paradou AC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 14,150.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Coup d'envoi des travaux de réalisation du nouveau complexe sportif à Béchar". Radio Algérie. 8 Agosti 2024. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Omar Benrabah kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |