Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Olympic Park

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Olympic Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Melbourne nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Heidelberg United FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 12,000.[1]

  1. "Olympic Village". Austadiums. 26 Januari 2024. Iliwekwa mnamo 26 Januari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Olympic Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.